Inawezekana , kuwa na umbo dogo lakini inahitaji kazi ya ziada kufikia kwenye
lengo hilo Kwa wale wanaojali maumbo ya kupendeza saizi zero
linatafsiriwa ni kuwa na kiuno kisichozidi inchi 23, nyonga 32 na kifua 31.
Kikubwa unachotakiwa kuzingatia ni mazoezi na ulaji wako, kwa kuwa
mwangalifu katika kiasi cha kalori unachoingiza mwilini kila siku.
Unatakiwa kuwa mwadilifu katika uchaguaji wako wa chakula, haimaanishi ukae na njaa. Inawezekana ikawa ni vigumu kuelewa makala haya.
Unatakiwa kuwa mwadilifu katika uchaguaji wako wa chakula, haimaanishi ukae na njaa. Inawezekana ikawa ni vigumu kuelewa makala haya.
Kinachosisitizwa katika mpango huu, ni kuwa waangalifu katika
upangiliaji wa vyakula. Aina hii ya mpangilio wa ulaji inafahamika zaidi
kitaalamu kama ‘crash diet’ Kula kiasi
cha kalori 400- 500 kwa siku. Lakini unatakiwa kufanya mazoezi angalau kwa saa
mbili kwa siku, ili kupunguza mara mbili ya kiasi cha mafuta uliyokula katika
siku hiyo.
1.Kunywa maji kwa wingi:
Kwa kunywa kiasi kikubwa cha maji itakusaidia kurahisisha umeng’enyaji wa chakula mwilini. Ni vyema mwili wako ukawa na maji ya kutosha ikiwa umeingia kwenye mpango huu wa ulaji Kula mboga za kijani: Zina Vitamini, protini na virutubisho vingine kwa wingi ambavyo ni muhimu kwa afya. Kama ilivyoainisha awali, utaratibu huu hauhamasishi kukaa na njaa, bali kula vyakula vilivyo bora kiafya.

2.Kula vyakula visivyokobolewa.
Mara nyingi vyakula vya aina hii, huwa na virutubisho muhimu na vinavyohitajika katika ustawi wa mwili.
Mara nyingi vyakula vya aina hii, huwa na virutubisho muhimu na vinavyohitajika katika ustawi wa mwili.
3.Punguza
wanga katika mlo wako.
Badala yake unaweza kula protini na kuingiza vyakula kama mayai na samaki kwenye mlo wako.
Badala yake unaweza kula protini na kuingiza vyakula kama mayai na samaki kwenye mlo wako.
4.Epuka kula vyakula vya mtaani.
Vyakula kama chips, mihogo ya kukaanga na jamii yake vinachangia kwa kiasi kikubwa kuongeza uzito wa mwili na pia hulifanya zoezi la umeng’enywaji wa chakula tumboni kuwa gumu.
Vyakula kama chips, mihogo ya kukaanga na jamii yake vinachangia kwa kiasi kikubwa kuongeza uzito wa mwili na pia hulifanya zoezi la umeng’enywaji wa chakula tumboni kuwa gumu.
5.Kula supu za mbogamboga;
Supu kama ya kabichi licha ya kujaza tumbo, husaidia katika kurahisisha mfumo wa umeng’enyaji chakula tumboni.
6.Kula saladi na matunda kwa wingi.
Hii itasaidia kukuweka sawa kiafya.
Hii itasaidia kukuweka sawa kiafya.
Jizuie kula vyakula vyenye sukari nyingi na hata vile vya
mtaani unavyohisi vinaweza kukwamisha mpango wako wa kupungua.
Lakini pamoja na yote jipe mazoezi ya kutosha
kama kukimbia, kuruka kamba au mazoezi ya kupunguza tumbo na maziwa.
JIUNGE
NASI KWA KUTUFOLLOW
fb@edonetz , twiter@edonetz , inst@edonetz_blog na youtube@edone tv