Vijana
wengine wanalalamika kuwa ni vigumu kuuteka moyo wa msichana, jibu ni rahisi
kwa sababu hawatumii maneno sahihi. watu wengi pia huwa hawana maneno ya
kusema na wengine hawajui kabisaaa hata jinsi ya kuanza.
sasa leo
tuangalie haya maneno ya kumwambia msichana unaempenda na unahitaji awe wako
milele.
..Macho
yako ni mazuri , yananifanya nipotelee kwako kila nikiyatizama.
..Unanifanya
niwe mwanaume bora , kwa hio nastahili mapenzi yako.
..Tumbo
langu hutetemeka unapoleta mikono yako usoni pangu.
..Wewe
ni mzuri na ni mrembo naogopa hata kukugusa naona kama nitakuchafua.
..Unapotabasamu
huzuni kwangu hupotea , ghafla nakuwa mtu wa furaha.
..Ungeweza
kupata mwanaume yeyote duniani , lakini umenichagua mimi.
..Hapana.wewe
sio mnene uko poa na ndivyo nipendavyo.
..Ninapokushika
nashisi kulegea kwenye magoti.
..Wewe
ni rafiki yangu, najifunza vitu vingi kwako,ndiye mtu ambae nimekuchagua, ndio
mpenzi wa maisha yangu. ni wangu pekee, wewe ndio kila kitu kwangu.
..Siamini
, maana jinsi ulivyo amazing, lakini upo na mimi.
..kila
nikiangalia muda naona kama hautoshi kukupenda , natamani niwe na wewe milele.
yaani wasife.
..Umenifanya
niamini kuwa zipo nafsi zinazoungana, zinazokutana pamoja.
..Usiku
nikiwa naangalia nyota na kuzilinganisha kila moja ili kuelewa ni kwa nini
nakupenda,nilifanya vizuri hatimae nikazikimbia.
..Kukutana
nawe ni kitu ambacho hakijawahi kutokea.
..Unapoonyesha
kunipenda, huwa nazidiwa na hisia , hapo hupotea kabisaaa.
..Kabla
ya kulala ni lazima kwanza nikupigie simu ndio nitapata usingizi.
..Naweza
kuwa nawe maisha yote, lakini bado nahisi kama haitatosha
kukupenda.
..Napata
furaha nikiwa na wewe.
..
Napenda kutumia muda na wewe.
..Napenda
ngozi yako laini, ninapoigusa.
..Natamani
maishsa yangu yote nikuone ukiwa na furaha.
..Usibadilike
nakupenda jinsi ulivyo.
..Nikiwa
na wewe nafurahi kama mtoto.
..Napenda
nywele zako.
..Napenda
nikukumbatie ninapokuaga.
..Natamani
kukubusu kila sehemu ya mwili wako.
..Naanza
siku na wewe ndani ya mawazo yangu, na ninamaliza siku na wewe kwenye
ndoto zangu.
..
ukiwa na mimi huwa natamani kusimamisha muda, maana muda unakwenda haraka.
..Nikisikia
sauti yako asubuhi , siku nzima ni mtu wa furaha.
JIUNGE
NASI KWA KUTUFOLLOW
fb@edonetz , twiter@edonetz , inst@edonetz_blog na youtube@edone tv