kucha
zinabeba dalili mbalimbali za magonjwa , ikiwa ni pamoja saratani.
lakini Je umeona sehemu ya chini ya kucha yako, ipo kama mwezi nusu, sehemu hiyo inaitwa lunula, kwa kweli ni eneo la muhimu sana na unapaswa kuhakikisha halipati uharibifu wa aina yeyote ile.
Hapa ni mambo matano ya muhimu kujua kuhusu lunula:
1. Sehemu hii inonekana nyeupe,ni basal layer ya tano ya epidemis ambayo inaziba mishipa ya damu ambayo ipo chini.
2. Sehemu hii ya kucha inayoitwa lunula ni mzizi wa kucha na endapo ikiharibika au kuumia kwa namna yeyote ile, basi kucha yote itatoka.
3. Wataalamu wengi duniani kote wamegundua kwamba lunula inaeleza vizuri afya ya binadamu kwa ujumla.

Kwa
mfano, tiba za jadi za kichina wanaamini kwamba upungufu wa lunula inaonyesha
dalili ya upungufu wa damu au utapiamlo,
wakati pale au rangi ya blue ya lunula inaonyesha dalili ya ugonjwa wa
kisukari.
Kama
lunula ina wekundu fulani basi
huyo mtu atakuwa anasumbuliwa na magonjwa ya mishipa ya moyo.
4. Ukosefu wa lunula au lunula ni ndogo kuliko kawaida, inaonyesha indigestion ambayo inatokea kutokana na slow metabolism au kuzidi kwa sumu mwilini.
5. Kwa ujumla, Lunula inaeleza ugonjwa wa mtu kwa namna ya mabadiliko ya rangi au kwa kufifia zaidi au kutoonekana.
Baada ya mtu kupona maradhi yake basi lunula itaanza kuonekana tena.

Udogo
wa lunula mtu alionao, ni upungufu wa nguvu, afya mbaya na kinga ndogo mwilini, pia kuna
uwezekano wa kujisikia uchovu.
Kama
lunula inaonekana kwenye kidole gumba tu, jua ya
kwamba nguvu katika mwili wako zimepungua na kuna ugonjwa unakunyemelea.

fb@edonetz , twiter@edonetz , inst@edonetz_blog na youtube@edone tv