ANASEMA
NI TIME TO SHINE PRESENTS
Mkubwa wangu ninayo furaha
kukujuza kuwa ile vedio ya ngoma mpya inayokwenda kwa jina la TRY ME kutoka
kwa JAYNA akiwa na VIERA iko youtube
naw unaweza kuload audio kupitia LINK
VEDIO NAYO HII HAPA WAEZA IPAKUA VIA AU KUICHEQ KWA KUBOFYA HAPO CHINI.
JIUNGE NASI KWA KUTUFOLLOW
fb@edonetz , twiter@edonetz ,
inst@edonetz_blog na youtube@edone tv