VANNY AFRICA ENTERPRISES COMPANY LTD ni company inayojishughulisha na shughuli za ujasiliamali!  Ni company inayotoa pia mafunzo ya ujasiliamali na usimamiz wa biashara!

Vanny africa pia tuna bidhaa zetu tunazozizalisha na kuzisambaza kwenye supermarkets mbali mbali, bidhaa tulizonazo ni Vanny africa tomato sauce,  vanny africa sunflower oil, vanny africa spices Tea masala, pilau masala,  chicken masala! Beef masala, Nutritional flour,  Peanut Butter, pia tunazalisha Unga wa ugali tuna vanny africa super sembe, dona, pia tuna unga wa dona uliochanganywa na mtama na muhogo! 

Pia VANNY AFRICA tunajidhugulisha na utengenezaj wa sabuni za maji na sabun za kipande yaan Bar soap! Sabun za maji tulizonazo ni Sabuni za kusafishia vyoo (disinfectant soap) sabun za kunawia mikono (handwash), Sabuni za kusafishia maru maru (tiles cleaner), sabun za kusafishia vyombo (dishwasher) na sabuni za kusafishia vioo madirishani.

Pia VANNY AFRICA ENTERPRISES COMPANY LTD tunatoa mafunzo ya ujasiliamali mikoa yote tanzania pale tunapokuwa tumeitwa kutoa mafunzo! Tunatoa mafunzo kwenye vikundi mbal mbali!
Mafunzo tunayoa ni utengenezaj wa batiki, utengenezaj wa sabuni aina zote, utengenezaj wa bites, jinsi ya kutengeneza Peanut Butter,  jinsi ya kutengeneza tomato sauce,  kutengeneza mishumaa, jinsi ya kuandaa lishe ya watoto, tomato paste, mango pickle,  chill sauce,  na jinsi ya kupika vitafunwa vya aina mbali mbali.
Pia tunatoa mafunzo ya kilimo bora na cha kisasa cha matikiti na vitunguu swaumu na vituu maji.
Lakini vile vile Tunatoa wito kwa vikundi mbali mbali vya wanawake kuchangamkia fursa zilizopo hata kwa wale watu wanaoshinda maofisin unaweza kujifunza na ukawa unajiongea kipato mbali na mshahara.
Tunatoa mafunzo ya kwa bei ndogo kabisa ili kuhamasisha watu kujifunza ujasiliamali!

Tunapatikana DAR ES SALAAM, mlimani city karibu na NSSF
Au unaweza kutupigia simu kwa no +255784529210 au tumia emaili hii vannyafrica@gmail.com
Tunawakaribisha wote wenye kiu ya mafanikio

JIUNGE NASI KWA KUTUFOLLOW
fb@edonetz  , twiter@edonetz  , inst@edonetz_blog  na  youtube@edone tv
 
Top