Twiga sio kwamba tu ana shingo ndefu, bali pia ana ulimi mrefu ambao
urefu wake unafika sentimita 21, na pia anaweza kusafisha masikio
yake kwa ulimi wake mrefu.
- Je, unajua safari ya kuku kuruka kwa muda mrefu zaidi ilikuwa sekunde 13 na kwa taarifa yako konokono anaweza kuwa na jicho jipya tena ikiwa inapoteza moja awali.
- Paka ana misuli 32 katika kila sikio Lakini pia paka hapendi harufu za machungwa na Paka kutumia 66% ya maisha yao yote wakiwa wamelala.
- Chura hawawezi kumeza wakati macho yao yamefunguliwa
- kundi la Kangaroos inaitwa kikundi vilevile na kundi la nyangumi linaitwa pod na kundi la bundi linaitwa BUNGE
- Mwisho ni kwamba pua ya mbwa ni kama vidole vya binadamu na inaweza kutumiwa kutambua kitu .
fb@edonetz , twiter@edonetz , inst@edonetz_blog na youtube@edone tv