UVUVI - Hii ni moja ya kazi hatari zaidi hatari yake inatokana na mazingira yakufanyia kazi hiyo kwenye maji.

RUBANI - pia marubani nao wamehorodheshwa moja kati ya watu wanaofanya kazi hater zaidi.

UCHIMBAJI WA WADINI -Wanaofanya kazi hii Wapo hatarini kutokana na mazingira ya kazi zao pia.

BODYGUADS (walinzi)- Hawa ni watu ambao wakati wowote wapo kwenye hatari ya kufa ila asife boss wake ni hatari sana .

MAFUNDI UMEME - kwenye minara mirefu hin ni hatari kutokana na mazingira ya kazi zao kama  kukaa juu ya nguzo huleta wasiwasi mkubwa wa maisha yao kuwa hatarini.

WAFAGIA BARABARA - Pia wafagia barabarani wamekua kwenye wakati mgumu wa kugongwa na magari wanapokua kwenye kazi zao.

ASKALI WA BARABARANI NA  ZIMAMOTO - hi nayo imekuwa ni moja kati ya kazi hater zaidi duniani kutokana na mazingira wanayofanyia kazi

WAJENZI MADARAJA NA MAGOROFA - Hawa inabidi watumie akili nyingi katika kufanya kazi zao kutokana na kuwa katika hatari ya kupata ajali wakati wowote.

JIUNGE NASI KWA KUTUFOLLOW
fb@edonetz ,twiter@edonetz ,inst@edonetz_blog na youtube@edone tv


 
Top