Hakikisha wote mpo katika hali nzuri. kwamba isiwe kwamba wewe una furaha lakini yeye yuko out of mood haitaleta ladha.
Jiandae kwa ajail ya kiss BUSU, Kwamba hakikisha midomo yako tayari iko katika hali ya kukiss sogeleana karibu na mpenzi wako tayari kwa ajili ya kukiss.
Tumia mikono yako vizuri pamoja na vidole kwamba wakati wa tendo la kukisiana mikono na vidole vinakuwa vikicheza mabegani na shingoni mwa mpenzi wako usilegeze mikono au kuiweka mfukoni.
Usikurupuke fanya taratibu, kwamba usimkurupushe mpenzi wako wala kumlazimisha , usimvute wala kutumia nguvu wakati wa kukiss.
Legeza midomo yako usiikaze BUSU litakamilika vizuri kama uta- relax ukalegeza mwili pamoja na midomo (LIPS).
Kuwa na tabasamu na mchangamfu wakati wa tendo la kukiss na kabla hata baada hakikisha unakuwa na tabasamu na mchangamfu , furaha uchangamsha mahusiano na ukufanya uwe na wakati mzuri wa kufurahia mapenzi yenu.
BUSU na KISS litakuwa la kuvutia na raha ya aina yake endapo utazingatia mambo hayo UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HAPA CHINI....
JIUNGE NASI KWA KUTUFOLLOW
fb@edonetz ,twiter@edonetz ,inst@edonetz_blog na youtube@edone t