Image result for bongo fleva
Daz Nundaz Family 
Image result for Daz Nundaz FamilyKundi lilitikisa sana kuanzia miaka ya 2000 liliundwa na Daz baba, Ferooz, Lusajo, La Rhumba na Critic.  lilivuma na ngoma kama Maji ya Shingo, Kamanda, Jahazi la Daz , Nipe 5  na Barua. 
Solid Ground Family
Image result for Solid Ground FamilyHili ni moja kati ya makundi yaliyotikisa sana kipindi cha kuanzia miaka ya 2000 walitamba na ngoma kama  Bush Party, Mechi Kali, Kichaa cha Jerry na BABA JENI, Athumani akishalewa. 
e-sokoni
Eastcost Team 
Image result for East Coast TeamKundi hili liliundwa na watu kama king crez GK, AY , Mwana fA, Snare  na Buff G, ilitamba sana miaka ya 2000 ikiwa na ngoma kama Hii leo, komaa nao Iti kadi.
TMK wanaume family 
Image result for TMK wanaume familyIliundwa na juma nature mh. temba, KR , CHEGE , YP Y dash Rich one walitamba sana kuanzia miaka ya 2002 na ngoma kama Nyumbani ni Nyumbani, Chai. 
Gangwe Mobb 
Image result for Gangwe MobbWalijulikana kama Wazee wa Rap katuni kutoka Temeke Mikoroshini, wakiwa na mkali Inspector Haroun  na Luten Kalamani walitamba sana kuanzia miaka ya 2000 na ngoma kama  Mtoto wa Geti Kali , Wape vidonge vyaona Nje ndani, Asali wa moyo.
JIUNGE NASI KWA KUTUFOLLOW
fb@edonetz ,twiter@edonetz ,inst@edonetz_blog na youtube@edone tv
 
Top