1. Push-up - Push up zoezi ni zoezi zuri kwani hata nyumbani unaweza kufanya linasaidia kubalance mwili wako pia linasaidia kuunguza mafuta yaliyoganda.
2. Scissors - Zoezi hili linasaidia kuondoa mafuta mabaya (yaliyoganda) na kufanya mikono ionekane mizuri yenye umbo la kuvutia fanya kama kupishanisha mikono kwa nguvu kama ulivyo mkasi.
3. Weight Lift - hili zoezi ni la kunyanyua vyuma vidgo visivyo na usité mkubwa, hufanya mikono yako iwe stronger yenye nguvu na imara zaidi na huleta muonekano mzuri.
4. Opposite Arm & Leg Lift - Zoezi hili linasaidia kuondoa mafuta mabaya katika nisuli ya mikono, pia linasaidia kubalance umbro la mkono wako.
5. One Arm Triceps - Zoezi hili linasaidia kuunguza mafuta yaliyojishikiza kwenye misuliya nyuma ya mikono.pia inasaidia kuleta mwonekano mzuri wa mkono wako.
JIUNGE NASI KWA KUTUFOLLOW
fb@edonetz ,twiter@edonetz ,inst@edonetz_blog na youtube@edone tv