Diamond, Alikiba, Vanessa Mdee, Navy Kenzo, AY, Mayunga, Harmonize na Ray Vanny wametajwa kuwania tuzo za WatsUp TV Africa Music Video Awards – WAMVA16 za Ghana.
Hivi ndio vipengele ambavyo wasanii wa
Tanzania wametajwa:
African Video Of The Year

Diamond ft P-Square – Kidogo
Best African RnB Video

AliKiba – Aje
Best African Performance

Diamond – Jembeka Festival


Best African Group/Duo Video

Navy Kenzo – Kamatia
Best African New Comer Video

Mayungaa ft Akon – “Please Don’t Go Away”
Harmonize ft Diamond – Bado
Best African Reggae/Dancehall

Navy Kenzo – Kamatia
Best East African Video 

Alikiba – Aje
Ray Vanny – Kwetu
Navy Kenzo – Kamatia
Harmonize ft Diamond – Bado
AY f. Diamond – Zigo Remix
Diamond ft P-Square – Kidogo
Best African Female Video

Vanessa Mdee – Niroge
Best African Male Video

Diamond ft P-Square – Kidogo

Best African Combo Video

Diamond ft AKA – Make Me Sing

source bongo 5
 
Top