Kuna viwanja vya ndege ambavyo ni vya kawaida labda kama huwa ni muoga utakua unapata wasiwasi kidogo tu then inapita ila kwa viwanja hivi kuna uwezekano mkubwa kabisa ukaogopa sababu sio viwanja vya ndege tulivyozoea kuviona au kuvitumia.
ingawa Kwenye hii list
hakuna kiwanja ambacho kipo Afrika
mtumkubwa endelea mbele katika muendelezo wa picha hizi..