katika pitapita zangu nimeona nikuletee na hii uione mtu mkubwa karibu sana...
Hii ni May 16 2015 ambapo
kwa mujibu wa Wajenzi wa barabara, mmiliki wa nyumba hii anaendelea kuishi hapa
japokuwa barabara imeshakamilika.
huo ndio uanaume heshima na maamuzi ya mtu yachukue mkondo wake
Kwenye hizi picha za leo ni kutoka China ambako wamiliki wake
wamekataa pesa zilizotolewa na idara ya ujenzi wa barabara kama fidia,
Picha ya April 2010 huko
Guangxi Province
Hii nyumba wamiliki wake ni
wazee Luo (67) na mke wake mwenye miaka 65 ambao waliingia kwenye mvutano na
serikali kwa miaka minne kuhusu malipo yao na kuhama hapa.
Hata hivyo Luo alikubaliana
na serikali na akalipwa zaidi ya MILIONI 80 za Kitanzania ndio akakubali kuhama
na nyumba ikabomolewa December 2012.
Hata hivyo wakazi wengine
waliogomea nyumba zao zibomolewe baadae baadhi yao waliripotiwa kulipwa kiasi
kikubwa cha pesa na kukubali kuondoka kupisha ujenzi.picha zao hizo hapo
sasa hivi tayari napatikana kote jiunge na mimi
kwenye Twitter, Facebookna instagram @edionetz