rekodi mbalimbali zikivunjwa na watu
duniani na rekodi hizo maalumu huwa zinatunzwa katika kitabu cha kumbukumbu cha
Guiness World Records.
Kwa mara ya kwanza, watu ambao wako
katika kitabu hicho kutokana na kuvunja rekodi hizo za kipekee wamekutana
London Uingereza siku ya Novemba 13.
Chandra Bahadur Dangi mtu aliyevunja rekodi
ya kuwa mtu mfupi kuliko wote Duniani amekutana kwa mara ya kwanza na Sultan
Kosen, jamaa ambaye amevunja rekodi ya kuwa mtu mrefu zaidi duniani.
Chandra anatokea Nepal ana urefu cha
Sm. 54.6, Sultan anatokea Uturuki ana urefu wa Sm. 251 ambayo ni sawa na futi
8.3.
Hizi
ni picha zinazowaonyesha wakali hao wakiwa pamoja.