Iwapo wewe ni kijana ambaye ana chunisi ,unaweza kujihisi kana kwamba ni
mwisho wa dunia. Lakini utu uzima wako utakusaidia.
Utafiti kutoka chuo
cha Kings mjini London
,kilichowachunguza mapacha wa kike 1,205,unasema kuwa
kijana aliye na chunusi huishi masha akionekana mdogo ukilinganisha na watu wa
umri kama wake ambao wana ngozi nzuri.
Wataalam wanasema kuwa
ni kwa sababu watu waliio na acne wana kinga ya mwilini dhidi ya uzee.
Hiyo inamaanisha
kwamba vitu kama vile ngozi iliojikunja na ilikonda huonekana baadaye katika
maisha.
Najua utajiuli ni Kwa nini?
Utafiti huo
umechunguza seli nyeupe zilizchokuliwa kutoka kwa mtu mwenye chunusi na kubaini
kwamba zina kofia zenye kinga katika mwisho wa kromosomu zake zinazowasaidia
kutozeeka haraka.