Kama ulishawahi kukutana na hili basi
jua linatokea na kama ulishawahi kukutana na hili basi jua ni kwa nini
linatokea usisahau kulike page yetu hili kupata hzi story kila zitokapo..... hiko hivi ,Kulia baada ya kushiriki ngono au kufanya mapenzi ni
kawaida na hushuhudiwa sana kwa wanawake, ijapokuwa imesemekana kuwa wanaume
hulia pia.
Kulingana na wataalam, kuna sababu
kadhaa ambazo humfanya mwanamke kulia au kujawa na huzuni baada ya kushiriki
ngono, na mojawapo ya sababu hizo ni homoni ambazo mwili wa binadamu hutoa
wakati huo.
Umewahi kushiriki mapenzi na kugundua kuwa mpenzi wako amelia
tu, baada ya kipindi kirefu cha kufurahisha?
Kulingana na wanasayansi,
ni kawaida.
Utafiti mwingine umeonyesha kuwa kati ya asilimia saba nukta
saba na asilimia thelathini na mbili nukta tisa ya wanawake wamewahi kulia
baada ya kushiriki mapenzi.
Mara kwa mara, wanaume
hulia pia.
Mtaalam mmoja ameieleza hali hiyo kama 'hali ambayo mwanamke
hushindwa kujidhibiti na kulia bila sababu, hasa baada ya kupandwa na raha
ya kujamiana, au kufika katika upeo wa raha ya kujamiana (orgasm.)
Umewahi kudhani kuwa
'ustadi' wako ndio uliosababisha kulia kwa mwanamke baada ya kushiriki
ngono? Pole sana!
Hata
hivyo, mtaalam mwingine amesema kuwa ukweli wa mambo na mawazo yanayokuja punde
baada ya kushiriki ngono kama woga, huweza kumfanya mwanamke kulia, ijapokuwa
amesisitiza kuwa kulia kwa mwanamke baada ya kushiriki mapenzi ni kawaida
JIUNGE
NASI KWA KUTUFOLLOW
fb@edonetz , twiter@edonetz , inst@edonetz_blog na youtube@edone tv