Karibu sana tuzungumzie hili ;Ukweli busu ni kitu
kinachoshangaza hasa kutokana na raha yake, wengi hufurahia sana kutoa na
kupokea busu na bado tunakumbukumbu halisi za busu la kwanza lilivyokuwa.
Lakini walio wengi na pengine Inawezekana na wewe ni moja ya
wale wanaotafakari ladha ya busu la kwanza itakuwaje, tulia,leo nakuletea aina
ya busu na maana yake kama ifuatavyo.
ZIFUATAZO NI AINA SABA ZA BUSU NA MAANA ZAKE
Butterfly kiss;
Hapa unambusu mwenza wako ukiwa kwenye zero distance, fungua
kope zako polepole huku ukigusanisha kwenye shavu lake. Busu hili hutoa
mtekenyo wenye kusisimua kwenye shavu.
Eskimo kiss
Huku mpo distance zero na mpenzi wako sugua pua yako kwenye pua
yake kama sekunde 10 hivi, raha sana.
Finger kiss
Wakati mmelala wote na mpenzi wako, chukua kidole kimoja cha
mkono wake na kibusu kwa kukinyonya.
French kiss
Hili ni busu linalohusisha ulimi wengine huita “soul kiss” kwa sababu uhai na nafsi
hupita kwenda kwa mwingine kupitia kupumua kwa kinywa kupitia ulimi “wet”, aina hili la busu huhusisha
maeneo yote ya mdomo na husisimua maeneo yote ya mwili.
Fruit kiss
Chukua kipande cha tunda (hasa
fruit juice kipande cha nanasi, embe au zabibu) ng’ata nusu na yeye nusu na
kunyang’anyana hadi zinavunjika na juice kuteremka midomoni kimahaba zaidi.
Tiger kiss
Kama tiger huku akiwa hajui ukiwa mgongoni mshike na kumbusu kwa
kung’ata shingo (angalia usije muumiza mimi simo nazungumzia kung’ata
kimahaba).
Earlobe Kiss
Polepole ingiza ulimi kwenye masikio na kuyanyonya, usifanye kwa
kusababisha sauti sana kwani masikio ni sensitive sana kwa sauti
Unatakiwa kuwa makini pale unapokuwa unakiss na mpenzi wako
unaweza kuonekana mgeni wa mapenzi kwa kitu kidogo tu…..
Ili usipitwe na mada kama hizi na
nyingine nyingi kaa karibu yangu kupitia
fb@edonetz ,twiter@edonetz ,inst@edonetz_blog
na youtube@edone tv