Aliyewahi kuwa Waziri wa Elimu Tanzania, Joseph Mungai amefariki
dunia jioni hii, taarifa za awali kwa mujibu wa kituo cha television cha ITV
zinasema amekutwa na umauti baada ya kuanza kutapika mfululizo, familia
imedia kuwa tatizo hilo limemkuta baada ya kudaiwa kula kitu kibaya.
aliyewahi kuwa Waziri wa Elimu Tanzania,
Joseph Mungai amefariki dunia taarifa za, familia imedai kuwa tatizo hilo limemkuta baada ya kudaiwa
kula kitu kibaya.
Taarifa za kifo
zilizothibitishwa na mkuu wa kitengo cha mawasiliano ya umma Hospitali ya
Muhimbili, Aminiel Bubwerwa Aligaesha amesema wamethibitisha kifo chake ila hakuwa amelazwa hospitalini ya Taifa Muhimbili, wao
tumepokea mwili wake, na kwamba amefika akiwa
ameshakufa na wao wamemepokea mwili wake katika idara yao ya magonjwa dharura
na madaktari wakathibitisha kifo chake
na kupeleka mwili wake kwenye chumba cha kuhifadhi maiti’
Taarifa zaidi zinaendelea kufatilia taarifa zaidi kuhusu
msiba huo. R.I.P Joseph
JIUNGE
NASI KWA KUTUFOLLOW
fb@edonetz , twiter@edonetz , inst@edonetz_blog na youtube@edone tv