NI furaha kwangu kuona kwamba kazi nayofanya inasaidia watu na nguvu zangu hazipotei bure, na ninamshukuru mungu sana kwa hilo. Leo tutaongelea matibabu ya nguvu za kiume kwa watu walioathirika na punyeto ili na wengine ambao hawakupata matibabu yangu wafaidike kama ifuatavyo.

Hakikisha umeacha punyeto kabisa:
Ili upone tatizo hili hutakiwi kua mtu wa kubadilika mawazo hovyo, kama umeamua kuacha basi acha kabisa na futa kichwani kwako. Jisemee moyoni kwamba mimi Fulani nimeacha tabia hii na sitarudi nyuma. Kama wewe ni mtu wa imani shika kitabu kitakatifu kabisa kulingana na imani yako.

Amsha mfumo wako wa fahamu na mzunguko wa damu sehemu za siri
hii tunaiita booster, kuna virutubisho tunatoa kwa mwezi mmoja ili kushtua nguvu za kiume zilizokua zimepungua kwa kuongeza msukumo wa damu nyingi kwenda sehemu za siri kutokana na madhara haya ya punyeto kisha ataendelea staili ya maisha safi yaani chakula bora na mazoezi na kua sawa kama zamani.. virutubisho hivyo ni vya asili havina kemikali hata kidogo.{unaweza kuwasiliana na mimi kwa namba yangu hapo chini kupata dawa hii  kama unahitaji}.

Mazoezi: 
Kama  wewe ni mtu unayeishi bila mazoezi kabisa hutaweza kurudisha nguvu hizo, hivyo unahitaji kufanya mazoezi yeyote angalau nusu saa kwa siku. Inaweza kua kuruka kamba, push ups, kukimbia, kuogelea na kadhalika. Mazoezi haya ndio yanayofanya mzunguko wa damu ue mzuri na wewe usimamishe uume vizuri. Onyo: mazoezi yasiwe makali sana kwani yatakumaliza nguvu za kiume.

Kula chakula bora cha asili;
Vyakula vya viwandani vina kemikali nyingi sana na ndio vyakula vinaliwa sana kwenye kizazi chetu hichi cha sasa hivi ndio maana shida hizi zamani hazikuwepo ila siku hizi hata kijana mdogo analalamika kuishiwa nguvu za kiume. Kula ugali, maharage, viazi, maziwa mgando, karanga, korosho, mihogo na vyakula vyote vya asili unavyofahamu ila punguza ulaji wa nyama kwani hauna matokeo mazuri kwenye tiba hii.

Kunywa maji mengi sana;

Kusimama vizuri kwa uume kunategemea sana mzunguko mzuri wa damu mwilini hivyo kama mwili una maji mengi ni rahisi damu kwenda vizuri kwenye uume. Nikukumbushe kwamba ni wingi wa damu unaopelekwa sehemu za siri zako na kufanya uume wako usimame vizuri.. pia mwili unatoa kipaumbele vya damu nyingi kwa viungo vinavyotupa uhai kwanza kwa maana nyingine damu yako haiwezi kuacha kwenda kwenye ubongo, figo na moyo kwanza afu iende kwenye uume

JIUNGE NASI KWA KUTUFOLLOW
fb@edonetz  , twiter@edonetz  , inst@edonetz_blog  na  youtube@edone tv
 
Top