1.Ubongo wa mwanadamu unachukua 2% ya uzito
wote wa mwili .
2.Kwa wastani ubongo wa mtu mzima una kilo
moja na nusu(1.5Kg))
3.Ubongo wa mtoto wa miaka miwili una ukubwa
wa asilimia 80 sawa na ubongo wa mtu mzima.
4.Ubongo ndio ogani tata(complex organ)kuliko ogani zote zinazojulikana mpaka sasa katika
ulimwengu.
6.Kwa kawaida 3/4 ya damu yote inayotokoka
kwenye moyo uenda kwenye ubongo.
7.Ubongo wa mwanadamu unahitaji 20% ya gesi
yote ya oksijeni iingiayo mwilini ili uwe active.
8.Ukosefu wa oksijeni kwa zaidi ya dakika 5
katika ubongo hupelekea uharibufu wa ubongo.
9.Karibu asilimia 73 ya ubongo wa mwanadamu
ni maji na ukavu wa ubongo kwa 2% ya maji yote uathiri kumbukumbu na ufikiri.
10.Ubongo ndiyo ogani peeke mwilini isiyo na
seli za kupokea na kuhisi maumivu hivyo hata ukiuchoma ubongo kwa sindano uwezi
kuhisi maumivu yoyote yale.
11.Ubongo wa mwanamme ni mkubwa kwa 10% zaidi
ya ubongo wa mwanamke.
12.Zaidi ya chemical reaction 100,000 hutokea
katika ubongo kwa kila sekunde moja
JIUNGE
NASI KWA KUTUFOLLOW
fb@edonetz , twiter@edonetz , inst@edonetz_blog na youtube@edone tv