Kalibu sana msomaji wa edonetz nikujuze juu ya hili kama ulikuwa
ujui jua na kama ulukuwa unajua jua zaidi jua linapokuwa la utosi na kusababisha
joto kali wengi hupendelea kuvalia kandambili ili miguu ipate hewa; lakini
yawezekana wewe unaevalia kandambili hizo kuna mambo kadha wa kadha ambayo
huyafahamu.
Sio vibaya kuvalia kandambili lakini wataalamu wa magonjwa ya
miguu wanatoa tahadhari kwamba kuvaa viatu vya kanda mbili mara kwa
mara kunaweza kuiharibu miguu yako.
Kwanza, kanda mbili
zilizoko kati ya vidole vyako zinasugua ngozi na misuli yako na kusababisha
ugonjwa wa misuli ya miguu.
Pili, ukivaa viatu vya
aina hiyo mara kwa mara, kutasababisha utembee kwa hatua mfupi zaidi kuliko
kawaida na hali hiyo itaharibu viungo vyako.
Na tatu, viatu vya kanda
mbili haviwezi ‘kufix’ nyayo zako vizuri na katika hali hiyo, ukitembea kwa
muda mrefu, inawezekana kuharibu umbo wa miguu yako na hata viungo vyao.
JIUNGE
NASI KWA KUTUFOLLOW
fb@edonetz , twiter@edonetz , inst@edonetz_blog na youtube@edone tv