Karibu sana msomaji wa edonetz ili tuweze
kujuzana juu ya hili hapa kuusu macho naamini litakuwa jibu zuri kwa wale
waliokuwa wakiuliza swali hili…. Fanya kama ifuatayo..
1.
Weka macho yawe safi na uyakoshe kwa maji
ya waridi kila wakati. Epusha macho na joto,
baridi, moshi, vumbi, macho yasitumie nguvu sana kama vile kusoma sana. Tumia
dawa za kulainisha choo ikiwa hupati choo vizuri kwa sababu pia huchangia
katika maumivu ya kichwa na macho. kula pia karoti.
2.Matatizo
ya macho Asali Ni bingwa kwa ajili ya macho,
Pakaa asali katika macho huzidisha nuru ya macho, pia husaidia katika matibabu
ya trachoma, conjuctivits na maradhi mengine ya macho, kila siku pakaa asali
katika nje ya jicho na ndani ya jicho (kwa
ndani ya jicho unaweza kutumia unyoya wa kuku au ndege yoyote yule) kufanya hivo asali
hupigana na kujilinda na maradhi ya glaucoma.
3.
Asali pia husaidia kwa matatizo ya cataract, chukua 2 grams ya maji ya
vitunguumaji na asali uchange pamoja upake hii kwa wale wenywe immature
cataract. (Upate Asali ya nyuki mbichi tena iwe Safi ) isiyochanganywa na sukari.
Chaguwa
moja kati ya hizo Tiba hapo juu tumia kwa muda wa siku 3 isipomfaa ndio
unatumia Tiba ingine.
Chanzo; Mzizi Mkavu
JIUNGE
NASI KWA KUTUFOLLOW
fb@edonetz , twiter@edonetz , inst@edonetz_blog na youtube@edone tv