Taifa
la Marekani ndiyo taifa kubwa lenye vitu
vingi karibia kila kitu duniani,huku pia wananchi wake kwa asilimia kubwa
wakiwa na uhakika wa maisha yao kutokana na utajiri wa nchi hiyo.
Asilimia
kubwa ya wamarekani huishi bila wasaiwasi wa kukabiliwa na baa la njaa,vita au
matatizon mengine ambayo huyakumba bara la Afrika na Asia. Ulinzi madhubuti
uliowekwa ndani na nnje ya nchi hiyo uwawafanya wamarekani kujihisi wako salama
katika dunia hii kuliko binadamu yeyote yule.
Hali
hii imewafanya wamarekani kujivunia sana kuwa raia wa taifa hilo huku wakati
mwingine wakijitia kuwaonea huruma watu ambao siyo raia wa TAIFA HILO.
RAKININJE
WAJUA? pamoja na wamarekani kuwa na ulinzi huo ambao unawafanya wasiwe
na hofu ya maisha yao,huuogopa nyoka kuliko kitu chochote duniani?
Uchunguzi
umebaini kuwa asilimia 51 ya wamarekani ni waoga kuliko kawaida kila
wanapoomuona nyoka bila kujali amelala,amekufa au ni mzima.
JIUNGE
NASI KWA KUTUFOLLOW
fb@edonetz , twiter@edonetz , inst@edonetz_blog na youtube@edone tv