Leo nimekuletea maswali unayotakiwa kumuuliza
mpenzi wako mkiwa mko mmekaa jioni , au katika mapumziko yenu, lakini uwe
makini hapa kuna wengine hawapendi umdadisi, ile kuna wengine ni waelewa
na watakuelewa. mwanaume mwenye kukupenda atakuelewa.
Maswali yapo kama ifuatvyo;
..Unakumbuka nini cha utotoni ambacho uliwahi
kufanya?
..kwenye hii tamthilia unampenda mwigizaji gani?
3.nafikiri nimepoteza namba yangu ya simu , naweza chukua ya
kwako?
..ni kipi kinachoweza kukufanya ucheke zaidi katika maisha
yako?
..kwa mfano wewe ungekuwa muhudumu ungechagua watu
wa jinsia gani wa kuwahudumia ?
..umewahi kutuma maombi ya urafiki kwa rafiki wa kike?
..kabla ya mimi umewahi kuwa na nani?
.. je unaweza kukosa kitu unachokipenda kwa ajili
yangu?
..kama ukijikuta umeangukia kwa mwanamke , utaitumiaje hio
siku wewe kama wewe?
..wewe ni wangu?
.. unaamini kama kuna mungu?
..unawezaje kumjua mtu kama ni rafiki wa kweli?
..Unapenda kuwa smart au ni vyovyote tu?
..je unaweza kukaa na mtu usiempenda?
..Unajisikiaje unapokuwa na mimi?
.. Utamjuaje mchumba wa kweli?
..Unatafuta kitu gani kwa msichana?
..Utajielezeaje wewe mwenyewe?
..je, utaweza kunielezea mimi?
..Kuna tatizo gani umewahi kukumbana nalo?
..ni mzuri au ni mbaya?
..umewahi kumwacha msichana?
..umewahi kujihusisha na kitu chochote kibaya?
..busu la kwanza kabisa ulimbusu nani?
..ulifanikiwa?
.. Unapenda staili ipi ya mapenzi?kitandani.
.. Tamthilia ipi unaipenda?
..Unapenda chakula gani?
..unapenda rangi gani?
..unapenda mziki gani ?
..ukiwa mtoto ulikulia wapi?
..Ulipendelea kucheza mchezo gani wakati wa utoto?
.. unashangilia timu gani ya mpira?
..mwigizaji gani unamkubali sana duniani?
.. tamthilia ipi ni nzuri?
..unawafurahia marafiki zangu?
..unaipenda kazi yako?
..unategemea kubadilisha nininkatika maisha yako?
..Kuna kitu chochote ambacho huwa nakuudhi hata kama ni cha
kijinga ambacho hujawahi kujaribu kuniambia?
itaendelea.....
JIUNGE
NASI KWA KUTUFOLLOW
fb@edonetz , twiter@edonetz , inst@edonetz_blog na youtube@edone tv