Edonetz.blogspot.com
Edonetz Ni mtandao unaojiusisha na ufundishaji, uhabarishaji , uburudishaji na uhamasishaji katika jamii juu masuara tofauti tofauti. mtandao huu sio wa kiserikali ni wa mtu binafsi mwanzilishi ni Edrick Dawson mtangazaji na mhandishi wa habari.Ulianzishwa mnamo 1/10/2026
maana ya jina Edonetz-
ED- ni kifupi cha jina la mwanzilishi Edrick Dawson
ONE- hii inasimama kama moja yaani edrick dawson yupo mmoja alieanzisha mtandao huu akitokea mwingie anaweza kutumia jina lingine kuanzia mbili na kuendelea.
TZ -hii inawakilisha kwamba mtandao huu unapatikana hapa nchini Tanzania na sio nchi nyingine bali Tanzania tu.
UTENDAJIKAZI WAKE
utendaji ni kila siku kuhakikisha vinawekwa vitu vipya vyenye ubunifu na vyenye manufaa kwa jamii iwe habari,makala ya burudani,afya,mahusiano,urembo,maajabu,teknolojia na utandawazi. nyimbo mpya za wasanii (audio na video)
lengo la kuazisha mtandao huu

Ni kuhakikisha jamii inanufaika na kujua kile kinaochoitajikwa kwa wakati na kujua mambo tofauti katika jamii kufuraisha jamii, kuelimisha jamii, kusuruisha na kupatanisha jamii.
kila mtu anarusiwa kutumia mtandao huu pasipo kuvunja sheria za kimitandao, unaweza kututumia story yako lakini vilevile kutangaza na sisis moja kwa moja kwa kuwasiliana na sisi
lugha inayotumika katika mtandao huu ni kiswahili na kiingeleza lakini sana sana ni kiswahili kwa sababu jamii kubwa inayosoma katika mtandao huu ni watanzania wanaotumia ligha hii ya kiswahili ambacho ndio lugha ya taifa la tanzania.

MAWASILIANO
simu 0753688348
  au     0717148538
e-mail- edoneadvert@gmail.com  au edrickmashamba@gmail.com
katika mitandao yetu ni
facebook- edonetz au drick dawson
Twiter- edonetz
instagram- @edonetz_blog na @edrick dawson
 
Top