Ahsante karibu sana kutangaza na sisi www.edonetz.blogspot.com
mtandao wetu unazidi kukua kila kukicha hivyo idadi ya watu inazidi kuongezeka kila siku na ni watu wa rika zote ambao wanatembelea mtandao huu kutoka kila kona ya tanzania na dunia nzima kiujumla.
Edonetz inakupa fursa ya kutangaza katika blog yenyewe lakini vilevile katika kurasa za mitandao ya kijamii kama instagram,facebook,twiter nk, kwa bei ile ile ya kawaida ikiambatana na bonusi ya muda kadhaa kulingana na muda utakao kuwa umelipia.
bei zetu ni nafuu sana ukilinganisha na mitandao mingine
kadri watu watakavyoingia kuona tangazo lako ndivyo utakavyolipia kama ifuatavyo;-
⦁ watu 100 sawa na shilingi 1000 /=za kitazania kwa siku moja kwa hiyo yatapigwa maesabu wameingia watu wangapi tutagawanya 100 kwa sh.1000/=
⦁ kuhusu mkataba wa muda kadhaa ni maongezi na maelewano ila kwa mwezi sio pungufu ya 300,000/= maongezi yapo kuligana na urefu wa mkataba /makubaliano.
⦁ vile vile kwa sponsers ni makubaliano kati yake na uongozi wa edonetz
kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana na sisi moja;-
namba ya simu 0753688348
au 0717148538
e-mail. edoneadvert@gmail.com
au edrickmashamba@gmail.com
au tufuatilie katika mitandao yetu
facebook edonetz au edrick dawson
twiter,, @edonetz
instagram @edonetz_blog
au @edrick dawson
karibu sana www.edonetz.blogspot.com utangaza na sisi..