Ni wasichana wachache ambao wanathubutu kutengeneza ngoma kama hii istoshe katika staili hii ni vipaji ambavyo vinaitaji sapport yetu kwa pamoja ili tuweze kusikiliza vitu vizuri na vya tofauti katika bongo music anaitwa JAY LYIMO amemshirikisha PISON ngoma inaenda kwa jina la KILL THEM Icheq hapo chini kamanda wangu...
JIUNGE NASI KWA KUTUFOLLOW
fb@edonetz , twiter@edonetz , inst@edonetz_blog na youtube@edone tv