Kama ilivyo kawaida nakuletea vigongo vikali kutoka kwa watu ambao wana vipaji ila hawajasikika sana katika masikio ya wengi Na hii ni nyingine ngoma kali kutoka kwa NANA akiwa na VIVAS mzigo unaenda kwa jina la Pasua Moyo chini producer mkali wa kazi producer p. gonga link hapo chini ili kusikiliza kisha shae kigongo hiki ili wengine waenjoy kamanda wangu...
https://www.audiomack.com/song/edonetz/pasua-moyo
JIUNGE NASI KWA KUTUFOLLOW
fb@edonetz , twiter@edonetz , inst@edonetz_blog na youtube@edone tv