maziwa ya mbuzi yana faida kibao mwilini lakini kubwa ni hii ya kupunguza mwili. Hivi ndio maziwa haya yanavyoweza kukupunguza na ukapendeza.
Maziwa ya mbuzi yanasaidia kwasababu yana uwezo wa kuyeyusha chakula mwilini yaani kufanya mmengenyo ambao husaidia kwa kiasi kukibwa.
Kwa wale wenye matatizo ya kujaa gesi na vidonda vya tumbo pia wanashauriwa kunywa maziwa haya mara moja kwa siku kama tiba.
Maziwa haya pia yanatibu ugonjwa wa kupungua kwa damu mwilini ‘Anemia’ kwasababu yana madini ya chuma mengi na copper

Yanahimarisha mifupa
Maziwa haya pia yanatajwa kuhimarisha mifupa kwani yana wingi wa Calcium na amino acid tryptophan, madini yote haya yana uwezo wa kuhimarisha mifupa kwa ujumla.
Maziwa haya yana uwezo wa kuupa mwili kinga ya magonjwa mbalimbali, kwa kunywa maziwa haya mwili wako unakuwa na nguvu ya kutosha.

JIUNGE NASI KWA KUTUFOLLOW
fb@edonetz  , twiter@edonetz  , inst@edonetz_blog  na  youtube@edone tv
 
Top