Related image
Kuna wanawake wengine huwa hata wakichezewa na kushikwashikwa kila mahali na mwanaume ili apate ashki ya kufanya tendo la ndoa huwa ni kazi bure kwani hamu haimjii haraka au haimjii kabisa na hata akiamua kufanya anafanya tuu ili kumridhisha mwenzake.

Kama na wewe au mwenzio ni mmojawapo kati ya wahanga wa tatizo hilo nakushauri tumia dawa hizi zenye kupatikana kiurahisi kabisa katika mazingira yetu kwani ni zenye kusaidia kutibu kabisa matatizo ya kukosa hamu ya kufanya mapenzi kwa wanawake kwa haraka zaidi.


MUHOGO MBICHI


Imethibitishwa kwamaba kama muhogo mbichi kama utapendelewa kuliwa na mwanamke kiasi cha vipande5 pia vina uwezo wa kuamsha hisia za mapenzi au tendo la ndoa kwa wanawake.

MBEGU ZA FENESI


Mbegu za fenesi zinafahamika na kila mmoja,ni zile ambazo zinapatikana ndani ya tunda la fenesi,kama mwanamke anapendelea kula tunda hizo kuanzia kumi au zaidi kila baada ya siku 4 baada ya kuzichemsha na kuiva vizuri basi hamu ya kufanya tendo la ndoa zitamzidia na atakuwa ni mwenye kutamani kufanya mchezo huo kwa matamanio makubwa sana....hii ni tiba nzuri kwa wanawake wenye tatizo hili.

UJI WA ULEZI
Wanawake wanashauriwa kunywa uji wa ulezi kila siku asubuhi kwani uji huu una uwezo wa kuamsha hisia za mapenzi

KOROSHO
Nazo zinatajwa ni nzuri sana kwa kumuongezea mwanamke hamu ya kufanya tendo la ndoa akiwa ni mwenye kuzila mara kwa mara.#jf


IUNGE NASI KWA KUTUFOLLOW
fb@edonetz  , twiter@edonetz  , inst@edonetz_blog  na  youtube@edone tv
 
Top