Image result for nyangumi mkubwa
NYANGUMI (WHALE)

1. Moyo wa nyangumi una kilo 600, ukubwa wake ni sawa sawa na ukubwa wa gari ndogo

7. Chakula kikuu cha nyangumi ni dagaa kamba, ambapo nyangumi mkubwa hula dagaa kamba zaidi ya 4,000,000 kwa siku, ili nyangumi ashibe vizuri anakula kilo 3600kg?

9. Nyangumi anaweza kuishi mpaka kufikia miaka 80?

10.Baadhi ya mishipa ya nyangumi ni mikubwa kiasi kwamba Binadamu anaweza kuogelea ndani ya mishipa hiyo bila kugusa pembeni

11. Ukubwa wa nyangumi unaweza kulinganishwa na ndege aina ya Boeing 737

Image result for Boeing 737

1.    12. Urefu wa nyangumi unakadiriwa kuwa wa mita30 mpaka 50, ukimuweka ardhini urefu wake ni sawa sawa na urefu utakaojitokeza baada ya kuyapanga magari 9 ya size ya familia, Aliyekamatwa mara ya mwisho alikuwa na urefu wa mita33.

13. Nyangumi ndio mnyama mwenye sauti kubwa kuliko kitu chochote duniani. Hutoa sauti kali sana ya kipimo cha decibles188 ambayo inaweza kusikika mpaka umbali wa kilomita 848.

Ni sauti kubwa na kali kuliko sauti itoayo ndege kubwa aina ya jet inapopaa ambayo kipimo cha sauti ya jet ni decibles 120
 
Top