Kama
una nywele zako zinanyonyoka, usi panic labdaulikuwa hujui tatizo
basi fuatana nami . Sababu inaweza kuwa rahisi. Inaweza kuwa ni ukosefu wa vitamin au sababu za kinasaba ( urithi ).
basi fuatana nami . Sababu inaweza kuwa rahisi. Inaweza kuwa ni ukosefu wa vitamin au sababu za kinasaba ( urithi ).
1.
Stress
Kila aina ya physical and emotional pain inaweza kusababisha kunyonyoka kwa nywele. Ajali ya gari au kufanyiwa upasuaji vinaweza kukusababishia stress ambayo itakuletea kunyonyoka kwa nywele zako.
Kila aina ya physical and emotional pain inaweza kusababisha kunyonyoka kwa nywele. Ajali ya gari au kufanyiwa upasuaji vinaweza kukusababishia stress ambayo itakuletea kunyonyoka kwa nywele zako.
Emotional stress hazisababishi kunyonyoka kwa
nywele lakini inaweza kutokea pale unapokuwa katika wakati mgumu kisaikolojia
kama vile kumpoteza mtu wako wa karibu kutokana na kifo au kuachwa kimapenzi.
Hata hivyo,. Baada ya wakati huo mgumu, nywele zako zitaanza kuota tena baada
ya miezi sita.
2.
Homoni
Kunyonyoka
kwa nywele kunaweza kuwatokea wanawake w alio katika menopause kutokana na
kuadilika kwa viwango vya homoni. Inaweza kutokea pia kwa wanawake wanaotumia
vidonge vya uzazi wa mpango hususani wanapokuwa wana ahirisha mara kwa mara
zoezi la kutumia vidonge hivyo. Unashauriwa kama unatumia vidonge kwa uzazi wa
mpango, basi hakikisha unazingatia ratiba na usiahirishe hata mara moja.
3.
Ukosefu wa Protini au Hamirojo
Ukosefu
wa protini unaweza kudhoofisha ukuaji wa nywele au kusababisha kunyonyoka kwa
nywele kabisa na hatimaye kuwa na kipara kabisa.
4.
Ujauzito
Ujauzito
ni miongoni mwa mambo yanayo leta physical stresses and there are also na pia
huleta mabadiliko ya homoni. Kunyonyoka kwa nywele hutokea baada ya kujifungua.
5.
Kurithi
Kama mmoja kati ya wazazi wako au babu zako wa upande wa baba au mama aliwahi kuwa na tatizo la kunyonyoka nywele au kuwa na kipara kabisa, basi kuna uwezekano mkubwa sana kwa jambo hilo kutokea kwako pia kwa sababu za urithi.
Kama mmoja kati ya wazazi wako au babu zako wa upande wa baba au mama aliwahi kuwa na tatizo la kunyonyoka nywele au kuwa na kipara kabisa, basi kuna uwezekano mkubwa sana kwa jambo hilo kutokea kwako pia kwa sababu za urithi.
Hakuna
maelezo yoyote ya kitabu kuhusu jinsi ya kukinga suala hili , hata hivyo
unaweza kujaribu kutumia vyakula na dawa mbalimbali bila kujali sababu iliyo
fanya unyonyoke nywele au kuwa na kipara.
6.
Vinasaba vya kiume
Tafiti
mbalimbali za kisayansi zinaonyesha kuwa, wanaume wengi wana anza kuonyesha
dalili za kunyonyoka mwele wakiwa na umri wa kuanzia miaka sitini ( 60) na
kuendelea. So kama wewe ni mwanaume mwenye umri wa kuanzia miaka 60 na
kuendelea na nywele zako zimeanza kuonyesha dalili za kunyonyoka, huna haja ya
kupanic wala kutafuta tiba, kwani suala hilo ni la kawaida kabisa kwa wanaume
wenye umri wako.
7.
Anemia
Anemia
husababishwa na ukosefu wa madini ya chuma katika damu. Watu wengi
wanasumbuliwa na tatizo hili (anemia ). Hata hivyo, ili kupambana na tatizo
hili unachotaiwa kufanya ni kuzingatia matumizi ya vyakula vyenye madini ya
chuma katika mlo wako.
8.
Matumizi ya vitamin A kupita kiasi.
Malimbikizo
ya vitamin A mwilini husababisha kunyonyoka kwa nywele. Hata hivyo kunyonyoka
kwa nywele kunako sababishwa na malimbikizo ya vitamin A mwilini huwa ni kwa muda
tu.
Nywele
zako zitarejea katika hali yake ya kawaidautakapo punguza matumizi ya vyakula
vyenye vitamin A kwa wingi kupita kiasi kwa sababu mwili wako utaweza kubalance
vitamin zote mwilini.
9.
Kupunguza uzito kwa haraka.
Kupungua
uzito kwa haraka kunaweza kukufurahisha. Lakini hata hivyo, hii inaweza
kukusababishia kunyonyoka kwa nywele kutokana na stress zilizo sababishwa
katika mwili wako.
10.
Matatizo kwenye tezi aina ya thyroid ( Thyroid Gland )
Thyroid
gland ina husika na michakato mbalimbali katika mwili wa mwanadamuikiwemo
ukuaji wa nywele. Kama tezi hii haizalishi homoni za kutosha, inaweza
kusababisha kunyonyoka kwa nywele. Ukiwa katika situation hii, unashauriwa
kumuona daktari kwa ushauri zaidi.
TIBA
A:Tafuta unga wa habat
saudaa kachiri (komoni)-rocket,siki nyepesi na mafuta ya zeituni.
Kanda
unga wa habat saudaa katika juisi ya kachiri.Changanya na kijiko kimoja cha
siki pamoja na kikombe(200ml) cha mafuta ya zeituni.
Kosha kichwa kwa sabuni halafu sugua kwa dawa hiyo kila siku jioni.
Kosha kichwa kwa sabuni halafu sugua kwa dawa hiyo kila siku jioni.
JIUNGE NASI KWA KUTUFOLLOW
fb@edonetz , twiter@edonetz , inst@edonetz_blog
na youtube@edone tv