Umewahi kufikiria ama kujiuliza faida zinazopatikana kwa
kumkumbatia
mkeo ama mpenzi wako mkiwa mmelala?
mkeo ama mpenzi wako mkiwa mmelala?
FUNGUKA NA HIZI HAPA ………
Kwana ; HUPUNGUZA SHINIKIZO LA KISAIKOLOJIA
Pili ; USINGIZI
MARIDHAWA
Wanandoa
wanapokumbatiana husaidia kulala vizuri. Tafiti mpya zimeonesha kuwa
kumbatio hupunguza ‘cortisol’ na hivyo hupunguza shinikizo la
kisaikolojia. Pindi ‘cortisol’ inapopungua mwilini, moja kwa moja usingizi
huwa mzuri na mwanana.
Unapomkumbatia
mwandani wako huleta raha, hasa mambo yanapofikia kwenye hatua ya
kucheza, lakini kabla ya hapo furahia ladha ya mgusano wa ngozi zenu kabla
ya kusonga mbele… moyo wako unatakiwa kuuhudhurisha katika eneo na muda wa
mgusano huo ili kujenga uaminifu na hisia za ushirika.
Tatu; MAWASILIANO BILA
MANENO
Kukumbatiana hutoa
fursa kwa wapenzi ya kuwasiliana bila kuongea. Na hili ni jambo
maridhawa kabisa kwa wanandoa kuzidi kuwa karibu.
Nne; NI DAWA YA FADHAA
Kimbilia kitandani ili
kupata kumbatio la asali wako wa moyo; kumbuka kuwa kitanda kipo kwa ajili
hiyo. Achana na kitabu, televisheni, simu, tablet na mambo mengine kama
hayo. Kumbatio litakusaidia kumakinika na kupata utuvu.
Htano; UWAPA HISIA ZA
KURIDHIANA NA KUTOSHEKA
Mnapokumbatiana bila
kuwa na lengo la kuingia kweye tendo la ndoa, mtapata hisia kubwa ya
kuridhika na ndoa yenu. Tafiti mbalimbali zimeonesha kuwa wanandoa wanaokumbatiana
wanaridhika sana na ndoa zao kuliko wale wasiokumbatiana.
JIUNGE NASI KWA KUTUFOLLOW
fb@edonetz , twiter@edonetz , inst@edonetz_blog
na youtube@edone tv