Image result for Hizi hapa ni Dalili muhimu 7 za mwanamke anayekupenda
Karibu ndugu uangalie nah ii ikusaidie katika mahusiano

Tuanze na  Kwa Wanamme
Inashauriwa kwamba kwa mwanaume miaka 5 hadi 10 inafaa kupishana na mwanamke anayetarajia kumuoa. Kwa maana ya kwamba mwanaume anaweza kuoa mwanamke ambaye yeye mwanaume anakuwa amemzidi huyo mwanamke miaka miwili, 5 hadi 10. Kwa mujibu wa tafiti za wataalamu hiyo ni sawa.

na tukija Kwa upande wa Wanawake.

Inashauriwa pia kwa mwanamke kuzidi miaka 2 hadi miaka 5 kwa mwanaume anayetarajia kuolewa naye. Hii inamaanisha kwamba mwanamke akimzidi mchumba wake au mume wake miaka miwili hadi mitano itakuwa ni sawa hakutakuwa na tofauti kubwa sana wala madhara makubwa.


sio sahihi kwa wanandoa wakipishaza zaidi ya miaka 10.

Maana Wanandoa wanapokuwa wamepishana kwa zaidi ya miaka 10 kunakuwa na utafauti mkubwa katika kuhusiana kwao kama jinsi tulivyokwisha elezea.


JIUNGE NASI KWA KUTUFOLLOW
fb@edonetz  , twiter@edonetz  , inst@edonetz_blog  na  youtube@edone tv
 
Top