Unasikia raha
unapoamka asubuhi.
Unakuwa katika hali ya kutokuridhika
Unakuwa katika hali ya kutokuridhika
Bado unakuwa na kiu ya
kufanya jambo hilo hata kati kuna ugumu na vikwazo zingi.
Hauna majuto ndani yako hata kama matokea yasipokwa mazuri.
Haujui ujasiri umetokea wapi lakini unao.
Unakuwa katika hali ya kutilia mkazo mambo ya kesho kuliko yaliyopita.
Unakuwa na shauku ya kujiendeleza kila siku.
Umewaambiwa watu wanaokuzunguka juu ya malengo yako.

JIUNGE NASI KWA KUTUFOLLOW
fb@edonetz , twiter@edonetz , inst@edonetz_blog na youtube@edone tv