Image result for G  Frank pesa mbele
Mshikaji anaitwa G  Frank kutokea maenea ya k.koo jijin dar es salaam ngoma yake inaenda kwa jina la mbele pesa unaweza kuicheq hapa chini kwa kubofya hiyo video.

Kwa wale ambao wanaitaji kuchonga nae katika mambo ya kumsaport au ishu za show na kila kitu mcheq insta gfranktz fb g frank real twetter gfrank4real namba yake 0716721935.

Gongs hapa chini…………………..


JIUNGE NASI KWA KUTUFOLLOW
fb@edonetz  , twiter@edonetz  , inst@edonetz_blog  na  youtube@edone tv
 
Top