
Sasa leo
tuzungumzie suala la mawsiliano katika mahusiano Inabidi kujifunza kuwasiliana ambapo
ndio njia nzuri ya kutengeneza mahusiano bora . hebu tuone njia hizi za ufanisi wa mawasiliano katika
mahusiano
Pili Jifunze kuwa msikilizaji mzuri. Yaan jifanye
kama wewe umealikwa , na unataka kuwasikiliza watu wanaowasiliana. lakini usije
ukakaa tu bila ya maswali. jitahidi kuuliza maswali kadhaa ili kuongeza hari ya
huyo mzungumzaji aendelee kuongea
Tatu Usipanic, usifanye papara. Hapa namaanisha
kwamba usiingilie muda, subiri mpaka huyo mtu amaliza kuongea na kujieleza.
kama utaona bado hayuko tayari kusikiliza, we endelea kusubiri tu.
Nne Usijaribu kuongea juu ya mtu mwingine. usijaribu
kuongea juu ya mtu mwingine, yaani mtu anaongea na wewe unaongea , usifanye
hivyo. hatakujibu labda awe ni mtu wa ovyo,
MWISHO Usihofie ukimya wa muda.

wakati wa ukimya ndio
wakati mzuri wa mawasiliano, hata hivyo katika hali nyingi za mawasiliano ya
ukimya unawafanya watu wasijiamini na wasitulie.
Vilevile
kuna watu wanahitaji ukimya ili waweze
kukusanya mawazo yao na waweze kuongea kitu cha msingi. na wakati huo wa ukimya
unatakiwa kuwa msikilizaji mzuri zaidi ya wakati wa kuongea.
JIUNGE NASI KWA KUTUFOLLOW
fb@edonetz , twiter@edonetz , inst@edonetz_blog na youtube@edone tv