Twiga sio kwamba tu ana shingo ndefu, bali pia ana ulimi mrefu ambao
urefu wake unafika  sentimita 21, na pia anaweza kusafisha masikio
yake kwa ulimi wake mrefu.
  • Je, unajua safari ya kuku kuruka kwa muda mrefu zaidi ilikuwa sekunde 13 na kwa taarifa yako konokono anaweza kuwa  na  jicho jipya tena ikiwa inapoteza moja awali.

  •  Paka ana misuli 32 katika kila sikio Lakini pia  paka hapendi harufu za machungwa na Paka kutumia 66% ya maisha yao yote wakiwa wamelala.

  •  Chura  hawawezi kumeza wakati macho yao yamefunguliwa

  • kundi la Kangaroos inaitwa kikundi vilevile na kundi la nyangumi linaitwa pod na kundi la bundi linaitwa BUNGE
  •  Mwisho ni kwamba  pua ya mbwa ni kama vidole vya binadamu na inaweza kutumiwa kutambua kitu .
 JIUNGE NASI KWA KUTUFOLLOW
fb@edonetz  , twiter@edonetz  , inst@edonetz_blog  na  youtube@edone tv
 
Top