Leo tuangalie faida
zitokanazo na kucheka uenda mara nyingi tunachekla ila hatujui faida za kucheka
katika mwili wa binadamu, kiakili na
maisha yetu kiujumla.
Huchochea mwili kuongeza
kinga dhidi ya magonjwa, unapocheka kuna antibody cells mwilini zinazalishwa hivyo
mwili wako unakuwa na kinga zaidi ya kupambana na kuzuia magonjwa.
Husaidia kushusha high
blood pressure.
Huondoa msongo wa
mawazo, wasiwasi, hasira kwani unapocheka misuli ya mwili ina relaxe na
kukufanya ubaki ukiwa na furaha.
Hutuliza maumivu katika mwili, maana hormones za
endorphins mwilini huzalishwa pale unapocheka pia zinasaidia kutuliza maumivu yaliyopo katika mwili wako.
Kucheka mara kwa mara
hukupa nafasi kubwa ya kukumbuka na kujifunza mambo mengi kiurahisi hii ni
kutokana na utafiti uliofanywa na Chuo kikuu cha Johns Hopkins University Medical School.
Pia kucheka ufanya
misuli ya uson ku- relaxe hivyo kufanya
sura yako ibaki kuwa nzuri na kuondoa mikunjo ya usoni
Kucheka au kutabasamu
kila wakati unakuwa na nafasi ya kupata marafiki Na kupendwa Na watu tofauti Na
mtu anaye penda kununa.
JIUNGE NASI KWA KUTUFOLLOW
fb@edonetz ,twiter@edonetz ,inst@edonetz_blog na youtube@edone tv