1.  Push-up - Push up zoezi ni zoezi zuri kwani hata nyumbani unaweza kufanya linasaidia kubalance mwili wako pia linasaidia kuunguza mafuta yaliyoganda.
Image result for Push-up - Push
2. Scissors - Zoezi hili linasaidia kuondoa mafuta mabaya (yaliyoganda) na kufanya mikono ionekane mizuri yenye umbo la kuvutia fanya kama kupishanisha mikono kwa nguvu kama ulivyo mkasi.
Related image

3. Weight Lift - hili zoezi ni la kunyanyua vyuma vidgo visivyo na usité mkubwa, hufanya mikono yako iwe stronger yenye nguvu na imara zaidi na huleta muonekano mzuri.
Image result for Weight Lift

4. Opposite Arm & Leg Lift - Zoezi hili linasaidia kuondoa mafuta mabaya katika nisuli ya mikono, pia linasaidia kubalance umbro la mkono wako.
e-sokoni
Related image

5. One Arm Triceps - Zoezi hili linasaidia kuunguza mafuta yaliyojishikiza kwenye misuliya nyuma ya mikono.pia inasaidia kuleta mwonekano mzuri wa mkono wako.
Image result for One Arm Triceps

JIUNGE NASI KWA KUTUFOLLOW
fb@edonetz ,twiter@edonetz ,inst@edonetz_blog na youtube@edone tv
 
Top