Daz Nundaz Family
Kundi lilitikisa sana kuanzia miaka ya 2000 liliundwa na Daz baba, Ferooz, Lusajo, La Rhumba na Critic. lilivuma na ngoma kama Maji ya Shingo, Kamanda, Jahazi la Daz , Nipe 5 na Barua.
Solid Ground Family
Hili ni moja kati ya makundi yaliyotikisa sana kipindi cha kuanzia miaka ya 2000 walitamba na ngoma kama Bush Party, Mechi Kali, Kichaa cha Jerry na BABA JENI, Athumani akishalewa.
Eastcost Team
Kundi hili liliundwa na watu kama king crez GK, AY , Mwana fA, Snare na Buff G, ilitamba sana miaka ya 2000 ikiwa na ngoma kama Hii leo, komaa nao Iti kadi.
TMK wanaume family
Iliundwa na juma nature mh. temba, KR , CHEGE , YP Y dash Rich one walitamba sana kuanzia miaka ya 2002 na ngoma kama Nyumbani ni Nyumbani, Chai.
Gangwe Mobb
Walijulikana kama Wazee wa Rap katuni kutoka Temeke Mikoroshini, wakiwa na mkali Inspector Haroun na Luten Kalamani walitamba sana kuanzia miaka ya 2000 na ngoma kama Mtoto wa Geti Kali , Wape vidonge vyaona Nje ndani, Asali wa moyo.
JIUNGE NASI KWA KUTUFOLLOW
fb@edonetz ,twiter@edonetz ,inst@edonetz_blog na youtube@edone tv