Faida ya seedtray katika kuotesha miche ni kama ifuatavyo:
1. Inafanya mmea ukue na afya
2. Inasaidia mimea iote kwa asilimia kubwa kwa wingi karibu mimea yote uliopanda.
2. Inasaidia mimea iote kwa asilimia kubwa kwa wingi karibu mimea yote uliopanda.
3. Inakurahisishia uhamishaji wa mche kwenda kupanda shambani kulingana na utoaji wa mche kwenye tray tofauti na ule wa kwenye kitalu.
3. Inaongeza uzalishaji kwa kiasi kikubwa kwa kupunguza gharama za maji....wafanyakazi ...muda na mbolea na dawa.
3. Inaongeza uzalishaji kwa kiasi kikubwa kwa kupunguza gharama za maji....wafanyakazi ...muda na mbolea na dawa.
Faida za media maalumu katika uoteshaji wa miche.
1. Unakuwa hauna magonjwa yanayokaa kwenye aridhi ambayo hudhuru mmea mchanga unapoota au wadudu waliomo ardhini watakaharibu mbegu pindi upandapo.
1. Unakuwa hauna magonjwa yanayokaa kwenye aridhi ambayo hudhuru mmea mchanga unapoota au wadudu waliomo ardhini watakaharibu mbegu pindi upandapo.
2. Inaupatia mmea virutubisho vinavyohitajika katika ukuuaji maana unakuwa tayari umeandaliwa vizuri.
3. Unasaidia upenyezaji mzuri wa maji kwenye mmea kwa sababu unakuwa mlaini na pia unasaidia kupitisha hewa kwa urahisi.
5. Hauna magugu yatakayosumbua mche kipindi kipindi cha uotaji mpaka ukuaji utakaofikia kuhamishwa.
6. Unahifadhi maji...mara nyingi unashikilia maji kwa hiyo kunakuwa na unyevuunyevu kwenye mda mwingi.
Unaweza kuwasiliana kwa kuandika swali lako hapo chini au tutumie ujumbe kwenda namba 0753688348 au info@e-sokoni.co.tz