Pia unaweza kutangaza chochote cha kilimo na ikiwa una utaalamu pia katika sekta ya kilimo weka hapa chini pamoja na mawasiliano yako,
MADA: Mrejesho baada ya nane ane
Ni sehemu ambayo tunajadili kilimo na masoko yake Baada ya Nane nane umejifunza nini kipya? je unashauri nini kiwekewe mkazo katika kilimo? una maoni gani kwa ujumla? karibu sana weka maoni yako HAPA.