Home
»
» Unlabelled
» (HATARI KULEE!!!) Njia rahisi ya kujifunza jinsi ya kukata kiuno mwanamke, jifunze hapa leo!
Ni matumaini yangu na nina imani kubwa kuwa unatamani kujua zaidi juu ya hili na licha ya kuwa na pilika nyingi mchana
kutwa lakini unapoingia usiku hasa kwa wale wanao ishi na wenza wao
ni vyema kufarijiana kwa njia hii, ili kuchangamsha mwili na akili kwani kujua
kupika na usafi ni mambo ya kawaida lakini katika nyanja za usiku inabidi
uwe fundi na miongoni mwa mambo ya kujua ni jinsi gani unaweza kutaka kiuno ili
kuwa kivutio au uaridi kwa mumeo kwa wenye waume na wale ambao
hawajajaliwa kupata ndoa lakini ndo wanatarajia kufanya hivyo, sasa hakuna
mpango wa mji kama huu mwanadada;
iko hivi!!!!!
Jinsi ya Kukata Kiuno; Usikurupuke mwanadada inabidi ukate
kiuono kwa mazoea kwa kufuata utaratibu huu; kwanza Simama wima ukiwa hauna nguo mbele ya kioo ndo
itakusaidia vizuri maana kukata kiuono ukiwa umevaa nguo zinaweza
kukudanganya,sasa hapa weka mikono yako tumboni alafu sukuma tumbo lako mbele
litunishe halafu baki hivyo kwa muda kidogo halafu lirudishe kwa ndani na ubaki
tena kwa sekunde chache,hapo inabidi urudie tena huku umebana pumzi na mdomo
wazi ambayo itasaidia kukazamisuli ya tumbo,kubadilisha mirindimo (polepole,
haraka, chap-chap,kugandisha mpaka utakapo hisi tumbo lako linatetema.
Msingi wa kukata kiuno; Kama tulivyoona awali, simama wima na
ujishike kiuno na ukizungushe huku na huku na kisha kipeleke kiuono sehemu ya
kiuno kulia yaani upande wa kulia, sehemu ya mbele ipeleke mbele uwezavyo alafu
baada ya hapo peleka sehemu yako ya kiuno ya kushoto- kushoto, kisha peleka
sehemu yako ya mbele na nyuma hali itakayofanya makalio yako yabinuke
kisha rudia upande wa kulia ulipoanzia.
Ila Inabidi uwe shapu na urudie hatua
hizo kama ilivyo ainishwaa hadi mara ishirini na kuendelea ili uwe mauno feni.
Kupitia hivyo basi ni dhahiri utakuwa
mwepesi na hapo ndo ubunifu kama mtoto wa kike ni muhimu kwa kugundua
mbinu mbalimbali lakini hatukuachi hapo tu tunakupa baadhi ya mbinu kama kulala chali, kifudifudi, ubavu, chutama, piga magoti n.k kisha nenda
kulia-mbele-kushoto-nyuma-kulia mpaka kiuno kizoee halafu usisahau ukiwa ndani
ya futi sita kwa sita ndo maujuzi na kujipima kama umeweza lakini hapa kwetu
hakuna kujaribu ni utakuwa mwalimu wa walimu ..
Jiunge nasi
fb@edonetz , twiter@edonetz ,inst@edonetz_blog
na youtube@edone tv