kuna maono tofauti tofauti juu ya hili ila leo tumalize ubishi juu ya hili hapa
Siku zote tunafundishwa kuwa mwanamke apractise kumpa mume raha, kumfurhisha, but mi naona sex kama sex mwanmke ndo anabembelezwa sana na mwanaume, ndo anatikwatikwa, na kwa lugha nyepesi yeye ndo anaenjoy zaidi sex!
Siyo rahisi kusema ni nani anayestarehe zaidi ya mwenziwe, kwa sababu starehe inayotokana na mwanamke na mwanaume kufanya mapenzi inategemea na watu wote wawili wanaoshiriki katika tendo hili.
La msingi katika kujamii ana ni kwa mwanaume kumstarehesha mwanamke kadiri ya uwezo wake na kwa mwanamke kumstarehesha mwanaume kadiri inavyowezekana. Kama wote wawili wanajitahidi kuburudishana, wote wawili watapata raha sana.

Zamani, wanaume wengi walifikiri kwamba mwanamke ndiyo pekee mwenye wajibu wa kumstarehesha mwanaume, na kilichotokea mara nyingi ni kwamba mwanamke hakupata starehe wakati wa kujamii ana. Mawazo kama haya ni potofu na yamepitwa na wakati kwa sababu wanaume wameanza kuona kwamba kujamii ana kuna starehesha zaidi kwa wote wawili kama wote wawili wanajitahidi kuburudishana.
Mimi kwa mtazamo wangu naona wote ni sawa endapo kila mmoja atajitaidi kadri ya uwezo wake ili kumburudisha mwenziwe itakuwa burudani tosha ila mmoja akitegea basi raha itaamia kwa mchakalikaji haswa.

Hii inaitaji maoni yako hapo chini sehemu ya coment nambie wewe hili kwako likoje karibu sana…
ungana nasi 
fb@edonetz, twiter@edonetz,inst@edonetz_blog na youtube@edone tv
 
Top