Leo tuangalie upande wa mausiano uku ndani ya edonetz tujuzane  mambo muhimu ambayo mwanamke anapenda kutoka kwa mwanaume wawapo faragha

1. MAANDALIZI
Mapenzi yanahitaji maandalizi kabla ya tendo ili kuamsha hisia zao na kulainisha sehemu zake vizuri tayari kwa kuburudika! Endapo hautoweza kumuandaa vizuri mwanamke wako basi tendo zima hugeuka kuwa la maumivu, kutakuwa hakuna burudani yoyote pale zaidi ya misuguano ambayo itawaletea maumivu.
2. MAONGEZI YA MAHABA
Mwanamke anapenda sana haya maongezi! huwa anapatwa na hamu sana anaposikia kuwa unatamani kumridhisha, Mwambie utamfanyia nini na utamfanyaje na kwamba lengo lako ni kumpa utamu usio elezeka.
3. JITAIDI KUMUULIZA  KITU GANI ANAPENDA  MUWAPO FARAGHA
Ni kweli kila mwanamke anautofauti lakini Njia pekee ya uhakika ya kujua nini mwanamke wako anapenda kutoka kwako ni kumuuliza na  Udadisi wako unaweza pia kumfanya akutamani zaidi, jiamini uwapo mbele ya mpenzi wako, usiogope kuzungumza naye,kumweleza jinsi ufuraiavyo penzi lake.

4. UWE WA MWISHO KUMALIZA
Kawaida wanawake huchelewa sana kutosheka kimapenzi zaidi yawanaume, ni wastani wa dakika 8 zaidi wakati kikawaida wanaume wengi humaliza mapema hata kabla dakika 8 hazijafika! sasa hapa ndio wengi wanafeli inabidi Mwanaume uwe wa mwisho kumaliza ili uwe mshindi maana sio kazi rahisi hadi mwanamke kukwambia.
5 USIULIZE MASWALI YAKUKERA
kuna baadhi maswali au maongezi yanakera ukiongea uwapo na mpenzi wako kwa hiyo usiulize au kuongea mambo ambayo hayausiani na mapenzi yenu au mahali mulipo ongelea  kinachoendelea pale mulipo kuusiana na ukuaji wa mausiano yenu
  6 CHA KUONGEZEA NI HIVI
Hauhitaji kuwa mtanashati ili kumridhisha mwanamke kimapenzi,unaweza kuwa mtanashati lakini kitandani zero, mapenzi ni udadisi na utundu zaidi.
nakualika sana @mtumkubwa kunifollow na kulike page yetu @edonetz kote facebook,twiter na inster @edrickdawson

 
Top