Yeye
na familia yake kutoka Nagpur nchini India walifanya swala hilo kua siri kwa
sababu walikuwa na Kijana mwenye mkia
wa sentimita 20 unaomea
chini ya uti wa mgongo wake amefanyiwa upasuaji ili
uondolewe
wasiwasi
angechokozwa na wenzake.
Sasa
wanataka kuonana na daktari baada ya mkia huo kuendelea kumea mfupa ndani yake.
Mkia
huo unadaiwa kuwa mrefu kuwahi kutokea kwa mwanadamu ijapokuwa visa kama hivyo
ni vichache.
mamake ambaye hakutaka kutajwa jina alisema kuwa Ulianza
kuwa tatizo baada ya kuanza kumea nje ya mwili wake
anasema aliona Angeinua
mkia huo kila mara alipotaka kubadilisha nguo zake.angeona kwamba ilikuwa
inakera na uchungu mkubwa kwake,kwa hivyo alimpeleka hospitali.
Madaktari
wanasema kuwa kijana huyo huenda alimea mkia huo ndani ya tumbo la mamake
kutokana na kasoro ya uti wa mgongo,lakini ukaonekana nje baada ya kijana huyo
kuwa mkubwa.