Usivae tu bila kujua nini kina maanisha
kila unachokivaa kwani kinaweza kukuletea shida zisizo za msingi au katika hali
ya butwaa kwani Uvaaji wa pete waweza kuchukuliwa kawaida kwa mhusika lakini
hali ikawa tofauti kwa watu wanaokutazama. hivyo ni muhimu japo kufahamu baadhi
ya maana zifuatazo.
Kidole kidogo. kwa ajili ya kuvuta mtazamo (kudraw attention)
Chanda. Uchumba na ndoa, na tafiti huonesha pete hii huvaliwa kidole
hiki maana inasemekana kunamshipa wa damu ambao hutoka moja kwa moja moyoni.
hivyo mtu akikuvisha ni ishara ya kujiunga moyoni mwako.
Kidole cha kati. Uwezo na majukumu maana ni kidole kirefu kuliko vingine
Kidole cha kwanza. Kwa ajili ya utambulisho, mfano wa kundi ulilopo
(affiliation)
Dole gumba. Huvaliwa tu kwa fasheni na kupamba.
JIUNGE
NASI KWA KUTUFOLLOW
FACEBOOK@EDONETZ ,TWITER@EDONETZ
INSTAGRAM@EDONETZ NA YOUTUBE@EDONETZ TV