Licha ya Tanzania kuwa na washiriki wengi wapatao sita lakini Tanzania haikupata ushindi wowote kwenye tuzo za MTV MAMA 2016 zilizofanyika usiku wa Jumamosi hii jijini Johannesburg, Afrika Kusini. Kutoka Tanzania walikuwepo Diamond, Alikiba, Vanessa Mdee, Raymond, Navy Kenzo na Yamoto Band walikuwa wametajwa kuwania tuzo hizo. Msanii kutoka Nigeria Wizkid amekuwa man of the night tunaweza kusema umekuwa mwaka wakeWizkid aliyeibuka na tuzo nyingi zaidi, ikiwemo ya msanii bora wa mwaka. Diamond na Alikiba walikuwa miongoni ma wasanii waliotumbuiza kwenye jukwaa hilo.
Listi nzima iko kama ifuatavyo…
Winner Best Group – Sauti Sol wa Kenya )
 

 Winner Best Pop/Alternative Act – kyle deutsch & shekhinah wa South Africa.
 

Winner BEST FEMALE – Yemi Alade << Nominees Josey (Ivory Coast) MzVee (GH) Tiwa (NG) Vanessa (Tanzania) 
 

 Winner BEST International Act – Drake, nominees walikua
Beyonce, Adele, Future and Rihanna.
 

Winner Best Live Act – Cassper Nyovest
 

Legend Award – Hugh Masekela, a South African trumpeter, flugelhornist, cornetist, composer, and singer 
 

Winner Best Lusophone – C4 Pedro Angola (Nominees NGA, Nelson Freitas, Lizha James and Petro Show. 
 

Winner Best Francophone-Serge (Ivory Coast) NomineesFranko (CMN) J-Rio (GBN) Magasco (CMN) and Toofan
 

BEST MALE – WIZKID (NG) Nominees AKA (South Africa)
Patoranking (NG) Black Coffee (S.A)
Diamond (TZ)
 

LISTENER’S CHOICE – Winner Jah Prayzah (Zimbabwe), Tuzo hii ilikua ikiwaniwa na Watanzania Yamoto Band 
 

BEST COLLABO-Dj Maphorsia ft. Wizkid Dj Buckz –Soweto Baby << Afrika mashariki iliwania hii kupitia Sauti Sol ft. Alikiba
 

VIDEO OF THE YEAR – Winner Nique Ma Vie – Youssoupha (Congo) – Director: Antony Abdelli & Jose Eon 
 

 Personality of the year-Caster Semenya << Nominees Linda Ikeji, Wizkid, Pearl Thusi, Pierre Aubameyang 
 

Winner Best Group – Sauti Sol Kenya, Nominees R2Bees (Ghana) Toofan (Togo) Navy Kenzo (Tanzania) Mi Casa (S.)
 

 BEST HIPHOP – Emtee (S.A) << Nominees Olamide (NG) Kiff No Beat (I.Coast) Ycee (NG)
Ricky Rick (S.A)
 
 

BEST NEW ACT – Winner TEKNO (Nigeria) Tuzo hii pia ilikua ikiwaniwa na Rayvanny wa Tanzania ( WCB)
 

SONG OF THE YEAR – MY WOMAN Patoranking,Nominees ‘Unconditionally bae’ ya Sauti Sol & Alikiba 
 

 ARTIST OF THE YEAR-Wizkid Nominees Black Coffee (S.A) Diamond (TZ) Sauti Sol (K.E)
Yemi Alade (NG)
 

JIUNGE NASI KWA KUTUFOLLOW
FACEBOOK@EDONETZ  ,TWITER@EDONETZ INSTAGRAM@EDONETZ NA YOUTUBE@EDONETZ TV


 
Top