habari kutoka Dodoma
zinasema asubuhi hii ya Nov 11 2016
zikihusu kifo cha Mbunge Hafidh Ali Tahir wa Jimbo la Dimani ‘CCM’
Zanzibar, ni kifo kilichotokea alfajiri ya leo katika Hospitali ya mkoa wa
Dodoma.mbunge huyo wa jimbo la dimani Zanzibar katika hospitali ya general Dodoma
Edonetz itazidi
kukujuza zaid